Duka bora la baiskeli Tanzania - Baiskeli mpya na used, vipuri vya ubora, na huduma za ufundi wa kitaalamu
Chagua kategoria unayohitaji
Baiskeli mpya na used za aina mbalimbali - Mountain, Road, City, Fat Bike na zaidi. Bei nafuu!
Angalia ZoteVipuri vya ubora wa juu - matairi, breki, chain, mwanga, saddle, pedals na vifaa vingine vyote.
Angalia ZoteHuduma za kutengeneza baiskeli - repairs, tune-up, maintenance na marekebisho yote.
Angalia HudumaTunajivunia kutoa huduma bora zaidi Tanzania
Bidhaa zote zimekaguliwa na zinakidhi viwango vya kimataifa
Bei shindani kwa baiskeli mpya na used - kwa bajeti yoyote
Tunafikisha bidhaa Dar es Salaam na mikoa mingine yote
Mafundi wenye uzoefu wa miaka mingi katika kutengeneza baiskeli
Maoni kutoka kwa wateja wetu
Nilipata baiskeli nzuri sana kwa bei nafuu. Huduma yao ni bora na haraka. Nashukuru sana!
Vipuri vya ubora na bei nzuri. Mafundi wao wanajua kazi yao vizuri. Recommend 100%!
Baiskeli yangu iliharibika na Juu Pedal Power walirekebisha haraka sana. Huduma bora!
Wasiliana nasi leo kupitia WhatsApp au tembelea duka letu